Bussiness management

Price: $5 - $15
Mode of payment: Fixed price
Pre-Funded: $0.00
Bid Status: Closed This employer is not yet verified
Posted: 1 Year(s) ago
Category: Business and legal
Sub-Category: Account Management
Estimated Duration: More than 3 months
Freelancer Country: Worldwide
Location: Remote
Language Requirement: English
Experience level:
No. of Proposals: 0
Price: $5 - $15
Mode of payment: Fixed price
Pre-Funded: $0.00
Bid Status: Closed This employer is not yet verified

Description

Lunch hour quiz Form 3USHAIRI WA 9 1. Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali. Jama, Jama, Jamani Mbona twabebeshwa mateso hivi Mizigo mikubwa ya dhiki kama Kwamba hatuna haki ya kusema Kukataa ndoa za lazima Kukataa kuozwa wazee Kukataa kukatishwa masomo Kukataa tohara ya lazima Jama, Jama Jamani Iweje tuteswe mateso haya Na watu wasio kuwa hata na haya kama Kwamba hatuna haki ya kulalamika Kulalamikia kutumikishwa kama mayaya Kulalamikia kudhalilishwa kiunyama Kulalamikia kutolindwa na sheria Jama, Jama, Jamani Sasa hii ni awamu nyingine Na macho tumeyafungua kabisa Tumekataa kudhalilishwa kabisa Tumekataa kuteswa kama watumwa Tumekataa tohara ya lazima Tumekataa kuozwa……. Tumekataa! Tumekataa Hii awamu ya ’Haki ya mtoto wa kike’ Maswali 1. a) Taja mambo matatu muhimu yaliyozungumzwa na mshairi kisha ueleze kila moja. (Alama 6) 1. b) Eleza muundo wa shairi hili (Alama 4) 2. c) Taja mbinu mbili za lugha alizotumia mshairi kisha ueleze kila moja(Alama 4) 3. d) Kwa nini mshairi huyu anasema hii ni ’awamu’ nyingine? (Alama 3) 4. e) Eleza maana ya maneno haya kama yalivyotumiwa na mshairi (alama 3) • awamu • kudhalilishwa • Dhiki MWONGOZO WA KUSAHIHISHA USHAIRI WA 9 1. a) SHAIRI Mambo matatu muhimu yaliyozungumziwa na mshairi na maelezo ya kila moja. Kutaja alama 1 Kueleza alama 1 Jumla ( alama 6) 1. i) Mateso -Mizigo mikubwa ya dhiki -Hakuna haki ya kunena 1. ii) Ndoa ya lazima -Kuozwa kwa wazee -Kukatishiwa masomo iii) Tohara -Tohara ya lazima -Hawaruhusiwi kusema chochote 1. iv) Sheria -Haiwalindi

Uploads

....No uploads....

About Employer

Individual/Company: Individual
Name: Wycliff S
Country: Kenya
Verified: NO
Main job category: Business and legal
Total No. of Jobs: 1
Jobs Completed: 0
Total money spent: USD 0.00
Freelancer Rating: ....no reviews yet....